Niko na cash sina Mpesa, nigetuma kitambo…Top 20 Kenyan lies

lies that all parents will be told this New Year's
lies that all parents will be told this New Year’s

Kenyans have a euphemistic way of lying.  They don’t even lie they just give you a statement but we just know that it isn’t happening.

So here are some of the indirect statements used to tell lies that come out of the mouth like a snake’s forked tongue.

Kata simu nakupigia
Mnafunga saa ngapi
As soon as you finish campus bring your papers
Kuna deal nangoja iivane
Ile deni yako bado nakumbuka nitakulipa nikilipwa

Ile jam iko hapa ngara….. and by then they are still at home
Si ni mimi huyo nakuona simama hapo
Nishatoka kwa nyumba
Nilikuwa nauliza bei nikipata pesa nitakuja
Naenda hivi nacome
Nimetumia ungeitisha jana
Hii nyumba watu wengi wameitisha lipa tu sai alafu utaingia bado
Fundi carpenter  tailor-  hii ni kazi ndogo kuja kesho itakuwa ready
Hii kiatu ni size yako chukua tu  ukivaa vaa itastretch
Dakika tano tu niko karibu kufika

Usi choke! Here are the meaning of sheng lyrics used in Gengetone

Umejificha side gani ya hii kenya vyenye nimekutafuta- and by then the person has never even texted  you
Ata nilikuwa karibu kukupigia ukapiga mbele
Cheque iko ready nangoja signature ya mdosi
Wacha hii corona iishe tuone chenye tutafanya
Kajam kananiweka
Nitakupigia nikitoka meeting
Niko na cash sina mpesa otherwise ningekutumia
Ingia hii mat ata imejaa inatoka sai – saa hiyo watu wamejaza tu viti.

%d bloggers like this: